Waziri wa fedha na Mipango Dkt.Philip Isdor Mpango akitoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyotolewa na Benki ya dunia kuwa Tanzania imeingia katika Uchumi wa kati.

Baada ya taarifa hiyo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli aliwapongeza Watanzania wote kwa kufanikisha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati.

Mpango ameongeza kuwa katika bara la Afrika zimeingia nchi tatu ambazo ni Tanzania 🇹🇿 na Benin 🇧🇯 na Algeria 🇩🇿 huku dunia nzima zikiingia nchi tano tu.

The post Ufafanuzi ulivyotolewa na Waziri wa fedha Dkt. Mpango, namna Tanzania ilivyoingia uchumi wa kati – Video appeared first on Bongo5.com.