Baada ya Uchebe Kusemekana Amempa Shilole Talaka Moja ameonekana akiwa na demu mwingine katika mapozi tata kama inavyoonekana kwa Picha...Baada ya kuweka picha hiyo Uchebe Alichezea POVU kutoka kwa mashabiki wa Shilole kwa kumwambia kuwa ni mapema sana kuanza kuanzisha mausiano mengine hata 40 haijaisha

Soma Comments za Wadau

 masikini anateseka huyu kaka Sasa mbn mapema au ndo ulijali wenyewe....

 Mnyakyusa Unahangaika Wewe upo kama Kuku wa Libwata 😂😂😂😂 aya Emoji iyo #😘#

 Sem unazingua unampigaj dem ss we mshambaa kwel mwanamme hashindan na sigiria utatulia mzee

 Mmmh uchebe mwanangu umekwama wapi Babaa😢


 Wewe si unapenda stara??? Km Huyo ndio mke stara iko wapi. Pia unajua hiki ni kipindi gani. Huu ni wakati wa DhulHijja. Practice what you preach brotjer !

 Kaka unaokotaga wanawake wasokuwa na viuono wa nini kaka embu cheki mwanamke amekaa kama pipa kaka daaaa hata kama wanapesa ila unafeli sana boy daaaa


 km ndo wif hamfikii shishi hata ukucha 🤣

 Yani ww tangu umeachwa unahangaika,

mke_wa_babutale's profile picture

 Wala shilole hatishiki🤣nawala hakuwaziii