Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza tarehe rasmi ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambayo ni Oktoba 28, 2020.

The post Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza tarehe rasmi ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais appeared first on Bongo5.com.