Simba SC Yapindua Meza ya Yanga Kwa Makambo
KLABU ya Simba, imedhamiria kuboresha zaidi kikosi chake hasa katika safu ya ushambuliaji, ambapo tayari imeingia kwenye mazungumzo ya kina na aliyewahi kuwa straika wa Yanga, raia wa DR Congo, Heritier Makambo.

Makambo aliachana na Yanga mwishoni mwa msimu uliopita akiwa ameifungia mabao 17, baada ya mkataba wake kumalizika na kutimkia nchini kwa kuwa ni malengo yao.

Namungo wao hesabu zao ni kubeba taji la Shirikisho ili kuongeza heshima kwani wana uhakika wa kushiriki michuano ya kimataifa kwa msimu ujao hata wakipoteza mchezo huo.

Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola ameliambia Championi Jumatano kuwa licha ya fainali hiyo kuchezwa kwenye uwanja ambao hautaonyesha ladha ya fainali halisi ila wanahitaji ushindi.“

Fainali ni fainali tunatambua kwamba tunakwenda kucheza na timu imara, nzuri na yenye ushindani, tunahitaji ushindi. Uwanja hautatoa burudani halisi kutokana na kutokuwa kwenye mazingira mazuri lakini hiyo siyo sababu ya kushindwa kupata ushindi,” alisema.

Hitimana Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo alisema kuwa akili za wachezaji wake wote zipo kwenye fainai hiyo hivyo anaamini watapata matokeo chanya.“Wachezaji wangu wote Guinea ambapo alisajiliwa kwa mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Horoya AC.

Chanzo chetu makini kimeliambia Championi Jumatano kuwa, tayari uongozi wa Simba umeshakamata faili zima la usajili mpya wa Makambo, baada ya kukamilisha mazungumzo ya kina na waajiri wake wa sasa Horoya AC.

“Msimu ujao Yanga itabaki na kilio kila muda kufuatia idadi kubwa ya wachezaji wao kuonekana wakikipiga Simba, hadi hapa ninapoongea na wewe tuna zaidi ya asilimia 80 za kuwa na huduma ya Makambo msimu ujao.“

Mipango ya kina imefikiwa baada ya Yanga kushindwa kuvunja mkataba wake kule Horoya AC, ambapo kwetu limekuwa jambo la haraka tu baada ya bodi kuridhia na mara moja tumeanza mikakati,” kilisema chanzo chetu.

Awali taarifa zilisema kuwa Yanga wanapambana kuhakikisha wanapata saini yake lakini sasa Simba wameingilia kati kutaka kumsajili kwa ajili ya msimu ujao.