Sikiliza Wimbo wa Rosa Ree Ambao Harmonize Alitumia Beat Yake Bila Ruhusa na Kusababisha Rosa Kumshtaki youtube, Harmonize siku ya jana alipandisha wimbo katika Youtube channel yake wimbo wa Amen ambao ametumia beat ya wimbo wa Kanyor Aleng wa Rosa Ree Bila Ruhusa.

Asubuhi ya leo wimbo huo ukaonekana kwamba umefutwa youtube baada ya Rosa Ree Kushtaki Youtube, Hii inaonesha Harmonize Aliamua kutumia Beat hiyo bila mawasiliano na Mwenye Beat yake kitu ambacho kwa Harmonize kimekuwa kitu kinachojirudia kwani hata wimbo wa Uno Inasemekana ulikuwa na vionjo vya beat ya Producer Magix Enga kutoka kenya

Usikilize Hapa Chini: