Msanii wa muziki @rayvanny ameuzungumzia wimbo wake wa Amaboko ambao umetajwa na Apple kama wimbo namba moja kwa sasa Afrika.

Muimbaji huyo amedai kwa sasa yupo busy kwenye muziki wake kwa kuwa tayari chart kubwa za muziki zimekuwa zikimfutilia kwa ukaribu zaidi.

The post Rayvanny: Siwezi kuivimbia WCB (Video) appeared first on Bongo5.com.