Rais Dkt John Magufuli leo hii Ikulu, Chamwino, Dodoma atawaapisha aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kamishina, Jenerali Thobias Andengenye Thobias Andengenye kuwa mkuu wa Mkoa wa Kigoma

Mhe. Dkt. Philemon Sengati Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora

Bi. Mariam Mmbaga kuwa katibu Tawala Mkoa wa Simuyu.