“Kampeni za Uchaguzi zitafunguliwa August 26 hadi 27 October, 2020, na uchaguzi utafanyika October 28,2020 itakuwa Jumatano, kwahiyo siku ya Uchaguzi itakuwa ni ya mapumziko tutaitangaza rasmi”

The post Rais Magufuli atangaza rasmi kuwa siku ya uchaguzi mkuu Octoba, ambayo itakuwa jumatatu itakuwa mapumziko (+Video) appeared first on Bongo5.com.