Rais Dkt John Magufuli amemteua Dkt. Philemon Sengati kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora, akichukua nafasi ya Mh Aggrey Mwanri ambaye amestaafu.
The post Rais Magufuli amteua Dkt. Philemon Sengati kuwa Mkuu wa Mkoa Tabora akichukua nafasi ya Mh Aggrey Mwanri appeared first on Bongo5.com.