Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Julai 2020 amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo.

BREAKING: RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA USIKU HUU - YouTube

Kwanza, Mhe Rais Magufuli amemteua Dkt Jummanne Fhika kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Kabla ya uteuzi huo Dkt Fhika alikuwa Ofisi ya Rais na anachukua nafasi ya Bw.Christopher Ole Sendeka

The post Rais Magufuli afanya uteuzi wa RC, KM, NKM na DC. appeared first on Bongo5.com.