Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Gabriel Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali, ambapo kabla ya uteuzi huo alikuwa ni Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, nafasi ambayo imechukuliwa na Dkt Boniface Luhende, ambaye alikuwa ni Mhadhiri katika Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha DSM.

The post Rais Magufuli afanya uteuzi huu leo appeared first on Bongo5.com.