Rais John Magufuli amefanya mabadiliko katika uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe ambapo amemteua Mhandisi Marwa Rubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe kuchukua nafasi ya Jumanne Fhika aliyeteuliwa Julai 17. Fhika atabaki Ofisi ya Rais kuendelea na majukumu yake.

The post Rais Magufuli afanya mabadiliko ya uteuzi wa RC  Njombe appeared first on Bongo5.com.