Waziri wa zamani wa maliasili na utalii ambaye ni mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro, Profesa Jumanne Maghembe ameshindwa katika kura za maoni za CCM kwa kupata kura 130 dhidi ya mshindi Anania Thadayo aliyepata kura 176
______
Matokeo:
 
1.Anania Tadayo  kura 176.
2.Jumanne Maghembe kura 130.
3.Shabib Mruma kura 56