Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof Ibrahim Lipumba, amesema kama kuna mwanachama yeyote wa CUF anayedhani kuwa na sifa ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ajitokeze kuchukua fomu bila woga wowote
OPEN IN BROWSER