Msanii wa filamu nchini Steve Nyerere ameonekana kama mtu ambaye ameishiwa nguvu baada ya kushindwa katika kura za maoni wakati akiwania nafasi ya Ubunge wa jimbo la Iringa mjini.

Licha ya ahadi alizotoa Steve Nyerere aliambulia kura sita (6) katika kura hizo za maoni kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.