Msimu wa soka unaendelea “daluga” zikishika moto taratibu. Mpambano wa kufurahisha zaidi ni kati ya mabingwa Juventus dhidi ya Lazio wanaofanya mbio za kuwania tahji kuwa na mvuto zaidi wakati timu zote zikiwa na nafasi ya kulitia mikononi taji la Serie A.  

Hii ndiyo sababu debi ya leo ni Debi ya Jiji Maarufu kama “Derby della Mole" kuwavutia mashabiki wote wa soka. Meridianbet wamekuwekea vitu bora na maalumu kwa machaguo zaidi ya 800 ya kubashiri, na inakupa sababu zaidi ya kufanya muamala wako wa kwanza wa kuweka pesa kwenye akaunti yako kwa sababu una uhakika wa 100% ya tiketi yako ya kwanza inayopoteza!

Nini cha kutarajia kutoka kwenye debi hii ya Turin? Huu ni mchuano wa wapinzani wakubwa na mchuano huu ndiyo gumzo zaidi Italia, Na inatarajiwa Torino wanatatarjiwa kuwa watakuwa wachungu zaidi kwa Kibibi Kizee cha Italia na kumpotezea malengo yake kwenye ligi. Licha ya utofauti wa ubora kwa wana wa Turin, hawatakiwi kuchukuliwa poa. Mara ya mwisho wageni walisherekea Aprili 2015 na pengine huu ni wakati muafaka wa kuvunja historia ya gemu 11 dhidi ya wapinzani wao bila kushinda. 

Ushindi wa Torino wanaoonekana vibonde hapa utawashangaza wengi, Meridianbet wachora mikeka wanapewa odds ya 10, wakati ushindi unaotarajiwa zaidi wa wenyeji ukiwa umepewa odds ya 1.33. Unaweza pia kuunganisha matokeo ya mechi na idadi ya magoli. Mechi 1 & 3 + inakupatia odds ya - 1.97.

Chochote utakachokuwa umeamua hautakuwa umekosea, ukiwa na Meridian wakati wote upo upande wa ushindi. Wakati joto likizidi kupanda zaidi siku hadi siku, lakini bado, ukisajili akaunti mpya na meridianbet.co.tz na kufanya utabiri wako wa kwanza wa kati ya 1000-12500TSh na tiketi yako ikapoteza basi Meridianbet watakupatia 100% ya kiasi ulicholipia tiketi yako.Ofa ya maalumu ya Meridianbet kwa debi ya jiji

Msimu wa soka unaendelea “daluga” zikishika moto taratibu. Mpambano wa kufurahisha zaidi ni kati ya mabingwa Juventus dhidi ya Lazio wanaofanya mbio za kuwania tahji kuwa na mvuto zaidi wakati timu zote zikiwa na nafasi ya kulitia mikononi taji la Serie A.