Klabu ya Simba imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la ASFC baada ya kuitandika Azam FC bao 2-0 kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.

Magfoli ya Simba yaliwekwa kambani na John Bcco dakika ya 40 na jingine Chama dakika ya 57.

FT: Simba SC 2-0 Azam FC.