NANDY aitwa BASATA kwa makosa haya, Akubali na kuamua kuomba msamaha kwa Watanzania na mashabiki, Kisa Kizima cha Kuitwa Basata ni Promotion ya Nyimbo yake aliyofanya na Harmonize kwani alikuwa anapost Video ambazo hazina maadili za wanawake wakizungusha Maoni

Hapa Kwenye Video Ameongea na Kuomba Msamaha: