Mzee Mkapa aliwapenda Watanzania hususani wanyonge ndio maana alifuta kodi ya kichwa, kodi ya mifugo na kodi ya baiskeli ambazo ziliwatesa sana Watu, alianzisha MKURABITA na TASAF kusaidia kaya masikini” -JPM 


“Rais Mkapa amefariki ikiwa ni miezi michache tangu alipotoa kitabu chake cha ‘My Life, My Purpose’ ambapo ameelezea mambo mengi ikiwemo maisha yake na Uongozi tangu akiwa Lupaso” -JPM