Aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Mark Mwandosya amesema katika kipindi cha utawala wa Rais wa awamu ya Tatu, Hayati Benjamini Mkapa amesema katika kitu ambacho hawezi kusahau ni kuanzishwa na kujengwa kwa shule za Sekondari kwa kila Kata ambapo katika shule za kwanza kujengwa katika kata basi kata ya Lufilio ni miongoni mwao ambapo mpaka Chama cha Mapinduzi (CCM), kinaamua kuinadi sera ya kujenga shule hizo kwa kila kata tayari shule 11 zilikuwa zimekwisha kujengwa katika kata hiyo