“Kufuatia kifo cha Mzee Mkapa, natuma salamu zangu binafsi za rambirambi na kwa niaba ya Watu wa Uganda kwa Anna Mkapa, Watoto na Watanzani wote, Bendera Uganda zitapepea nusu mlingoti kwa siku 3 kuanzia Jumamosi (leo) July 25 saa kumi na mbili”- RAIS MUSEVENI