Kufuatia kifo cha rais wa awamu ya tatu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania hayati Benjamin William Mkapa mnamo tarehe 24/7/2020 jijini Dar Es Salaam, viongozi wengi wa matatifa mablimbali wametuma salamu za rambirambi.
Rais wa Uganda Yoweri Museven ametuma salamu zake za rambirambi wa kusema kuwa
“Kwa masikitiko makubwa nimehuzunishwa na kifo cha kaka yetu Benjamin Mkapa, Nilianza kufanya nae kazi na H.E Mkapa mnamo mwaka 1967 wakati tulikuwa wanafunzi wa chuo kikuu na alikuwa mhariri mkuu wa gazeti la Nationalist.”
Natuma salamu zangu binafsi za rambirambi na kwa niaba ya Watu wa Uganda kwa Anna Mkapa, Watoto na Watanzani wote, Bendera Uganda zitapepea nusu mlingoti kwa siku 3 kuanzia Jumamosi (leo) July 25 saa kumi na mbili”
I convey my condolences and those of the People of Uganda to Anne, the children and the people of Tanzania. The flags in Uganda will fly at half mast for three days, starting tomorrow, Saturday, July 25th, at 0600hrs (Saa kumi nambili).
— Yoweri K Museveni (@KagutaMuseveni) July 24, 2020
It is with a lot of sadness that I heard of the death of our brother, H.E Benjamin Mkapa. I started working with H.E Mkapa in 1967 when we were university students and he was the chief editor of the Nationalist newspaper.
The post Museven: Nimehuzunishwa na kifo cha kaka yetu Mkapa, Bendera zitapepea nusu mlingoti kwa siku tatu Uganda appeared first on Bongo5.com.