Vibanda zaidi ya 7 vya maduka ya wafanyabiashara katika soko la Vwawa wilayani Mbozi Mkoani Songwe vimeteketea kwa moto.
Mpaka muda huu Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.
Chanzo bado hakijabainishwa na jitihada za kuwapata watu wa mamlaka za usalam