Kocha wa Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Young African Sports Club Luc Eymael amemtimua kambini nyota wake, Bernard Morrison aliyemsajili mwezi Januari 2020.

The post Morrison atimuliwa kambini, Luc Eymael ashangaa nyota wake alivyo badilika (+Video)   appeared first on Bongo5.com.