Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli ametangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Tanzania Benjamin William Mkapa.

Baada ya taarifa hizo baadhi ya watu maarufu wamepost wakionyesha kusikitishwana msiba huo, mmoja wao ni Mo Dewji kupitia ukurasa wake wa Instagrama amepost hiki:-

Bado ni ngumu kukubali kwamba Mzee Mkapa hatunaye tena. Pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania kwa ujumla kwa msiba huu mzito. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi. ‬

‪Tangulia Baba, nasi tunakuja.

The post Mo Dewji: Bado ni ngumu kukubali kwamba Mzee Mkapa hatunaye tena appeared first on Bongo5.com.