“Nimetangaza Nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu kama Chama changu Cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema kitanipa fursa hiyo.Naomba ushirikiano kwa wananchi wa Jimbo hili.”- Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya nje wa @ChademaTz JOHN MREMA