“Mkapa ni Baba wa Demokrasia nchini, hata utaratibu wa kutoa ruzuku kwa Vyama vya siasa yeye ndiye aliuanzisha, alisimamia utawala bora, alianzisha Taasisi ya Kuzuia Rushwa”-JPM 


“Mzee Mkapa aliikuta Nchi ikiwa na madeni akapambana na Nchi ikasamehewa deni la USD Billion 3 kati ya USD Billon 7 katika mpango ambao ulisimamiwa na Benki ya Dunia na IMF, Mzee Mkapa aliamini pia kuwa Nchi inapaswa kujitegemea licha ya kusamehewa deni”-JPM