Leo tarehe 19 Julai 2020 aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Mwanachama mpya wa ACT-Wazalendo Ndugu Bernard Membe amerejesha fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
The post Membe arudisha fomu ya Urais appeared first on Bongo5.com.