Moja ya majimbo ambayo matokeo yake yalikuwa yanasubiriwa kwa hamu sana ni jimbo la Hai ambalo lipo chini ya CHADEMA kupitia mwenyekitiwa Chadema taifa Freeman Mbowe.


Ikiwa leo ilikuwa ni siku maalumu ya chama cha Mapinduzi CCM kumtafuta muwakilishi wao na tayari amepatikana, matokeo yapo hivi:

Jimbo La Hai.

JUMLA YA KURA ZOTE 485

1.Sasisha Mafue 124

2.Fuya Kimbita 85

3.Aboubakari Ndosa 48