Shirika la usalama wa anga la Umoja wa Ulaya EASA, limelizuia shirika la ndege la kimataifa la Pakistan PIA, kuruka katika anga ya Ulaya kwa kipindi cha miezi sita.
The post Marubani waliodanya kwenye mitihani waliponza Shirika la ndege Pakistan appeared first on Bongo5.com.