Msemji wa timu ya Simba Haji Manara amesikitishwa na kukerwa na kitendo cha kocha wa timu ya Yanga kwa kuwaita mshabiki mbwa au nyani na kuwataka TFF na waziri mwenye dhamana kumchukulia hatua ikiwa ni pmoja na kumnyang'anya vibali vya kzi na kuishi Tanzania.

Kauli hiyo ameitok kupitia ukurasa wake wa instagramu na kuandika haya;

Huyu Mzungu hafai kuendelea kufanya kazi Tanzania, kama Yanga kwa ujinga wao watashindwa kumfukuza na TFF ikashindwa kuchukua hatua, Serikali imfukuze nchini, hawezi kuwafananisha mashabiki wao na Nyani au mbwa, kama Watanzania ndugu zetu ni Nyani, nn kilimleta Tanzania? Angebaki kwao walipo Washabiki binadaam,,,ningekuwa Minister wa home affairs,Asubuhi tu ningeshanyang’anya vibali vyote vya kuishi na kufanya kazi hapa,,,
Hana heshma na hastahili kuendelea kufanya kazi ktk taifa hili linalojali utu na hadhi ya binadaam bila ubaguzi
@tanfootball @tplboard