Mama Salma kikwete, amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mchinga, wilaya ya Lindi vijijini, mkoa wa Lindi kupita Chama Cha Mapinduzi (CCM)