Katika mahojiano ya @officialalikiba Na kituo cha habari cha Clouds Fm akizungumzia kuhusu Tour yake ya KIGOMA #homecomingconcert ambayo itafanyika tarehe 31/7/2020 katika uwanja wa Lake Tanganyika.

Kuna shabiki aliuliza kuhusu EP ya @tommyflavour lakini pia kuhusu @officialalikiba kuwashirikisha @kondegang ya @Harmo nize_tz kwenye tour hiyo na haya ndio yalikuwa majibu yakiyoka kwa meneja wa @officialalikiba @beingaidancharlie

The post Majibu ya Alikiba kuhusu kufanya kazi na Konde Gang ya Harmonize (+Video) appeared first on Bongo5.com.