Maandilizi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam mahali ambapo mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin William Mkapa utaagwa kwa siku tatu kuanzia kesho Julai 26, 2020

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge, amesema maandalizi yanaendelea vizuri kwenye uwanja wa Uhuru ambako mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa utaagwa kuanzia kesho Julai 26, 2020.

The post Maandilizi ya kuuaga mwili wa Mkapa Uwanja wa Uhuru, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Kunenge atoa neno hili (+Video) appeared first on Bongo5.com.