Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  amejumuika na Watanzania katika Misa ya Kumuaga Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa Kutoka Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam, leo Julai 26, 2020

The post #LIVE: Rais Magufuli akishiriki ibada ya kumuombea Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa (+Video) appeared first on Bongo5.com.