Kura za maoni zitaanza leo na kesho, ni matumaini yangu viongozi watakao simamia hizo kura za maoni, watasimamia kwa uwazi bila mizengwe yoyote ili kila mwenye haki aweze kupata haki yake.

Mimi ningetamani sana viongozi wa chama changu ambao watasimamia uchaguzi huu wa leo na kesho kura zikishamaliza kupigwa zikafanyike kama tulivyofanya kwenye Halmashauri kuu zihesabiwe hadharani, anayepata ziro aipate hapo hapo na anayepata zote iwe pale pale, huu uwazi utaendelea kujenga umoja wa CCM.

 

The post Kura zihesabiwe hadharani, anayepata ziro apate hapo hapo – Rais Magufuli (+Video) appeared first on Bongo5.com.