Msanii Baba Levo leo amerudisha mpira kwa kipa baada ya kusema anarudi kugombea Udiwani baada ya Zitto Kabwe kutangaza nia ya Kugombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini.

Baba Levo aliwahi kutangaza nia ya kugombea Ubunge Kigoma Mjini lakini aliweka tahadhari kuwa ataendelea na nia yake hiyo endapo Zitto Kabwe hatogombea Jimbo hilo

Mpaka sasa Baba Levo amesama ameshachukua fomu ya kugombea udiwani na kuirudisha kimya kimya

VIDEO: