Paul Siria  ni kijana ambaye ametrend kwenye mitandao baada yakumtungia wimbo Bilionea Saniniu Laizer nakuuimba siku ambayo Bilionea huyo alifanya sherehe nyumbani kwake kwa ajili ya kumshukuru Mungu baada yakupata madini ya Tanzanite yenye thamani ya Billion 7.8

Siria amesema kwamba  Bilionea Laizer alimuita nyumbani na baada ya hapo alitumia siku mbili kutunga wimbo huo na hajaweka makubaliano yeyote ya fedha lakini amekuwa akisaidiwa mambo mengi ikiwemo kumsaidia katika kazi zake