''Tumehuzunishwa na kifo cha Mzee Mkapa, salamu zangu za rambirambi kwa Familia yake, Watanzania wote na kwa rafiki yangu Rais Magufuli, kifo cha Mzee Mkapa kinaugusa ulimwengu mzima mchango wake wa harakati za muungano wa Afrika ulivuka mipaka ya Tanzania”-Rais wa Rwanda, Paul Kagame