“Hayati Benjamin William Mkapa, alifariki kwa ugonjwa wa Moyo kusimama ghafla, ulioandamana na Malaria, Julai 23, 2020, majira ya saa 3:30 usiku akiwa na umri wa miaka 81” – Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje.

The post KABUDI: Hayati Benjamin Mkapa alifariki kwa ugonjwa wa Moyo kusimama ghafla (+Video) appeared first on Bongo5.com.