“Ninaamini vyama vyote vitafanya kampeni kistaarabu basi tukawe wavumilivu. Niviombe vyombo vya dola visitumie nguvu pasipostahili, lakini hata nyinyi wanasiasa msiwachokoze wale walinda amani, msiwafanye watumie nguvu”

The post JPM: vyombo vya dola visitumie nguvu pasipostahili, wanasiasa msiwachokoze wale walinda amani, msiwafanye watumie nguvu (+Video) appeared first on Bongo5.com.