“Kwenye hizi kazi kuridhika ni kitu kikubwa sana, yule kijana pale anaitwa Selemani ni PHD holder lakini mshahara ni laki 5, lakini aliridhika na mshahara wake. Ilipojitokeza fursa ndiyo tukamteua kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa”

“Nilikuwa napewa taarifa hapa na Makamu wa Rais, waliojitokeza kugombea kupitia CCM mpaka sasa ni zaidi ya 8000 na Dar es Salaam ndiyo inaongoza ambayo mpaka leo alfajiri wapo 829” 

The post JPM: Viongozi vijana imekuwa ngumu kuridhika hasa waliozaliwa miaka ya 1982 (+Video) appeared first on Bongo5.com.