“Binafsi niliongea na Mzee Mkapa kwa simu saa chache kabla hajafariki nakumbuka aliniambia “John usiwe na wasiwasi naendelea vizuri” sikujua yale maneno yalikuwa ya kuniaga namshukuru Mungu kwa zawadi ya Mzee Mkapa”

The post JPM: Niliongea na Mzee Mkapa kwa simu saa chache kabla hajafariki, aliniambia John usiwe na wasiwasi naendelea vizuri (+Video) appeared first on Bongo5.com.