Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli ametangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Tanzania Benjamin William Mkapa.

Mbali na kutangaza msiba huo mkubwa wa kitaifa pia ametangaza siku 7 za maombolezo na kueleza kwamba katika kipindi chote cha maombolezo ambacho ni siku 7, bendera zote nchini zipepee nusu mlingoti.

The post JPM: Natanagza siku 7 za maombolezo, bendera zote zipepee nusu mlingoti appeared first on Bongo5.com.