“Waziri Mkuu fuatilia nijulishe, bado nitakuwa na Urais, hata nikiwa kwenye kampeni nijulishe, Nataka ndani ya Wiki mbili Taasisi zote zinazodaiwa iwe ni Ikulu, Ofisi ya Spika na zote za Serikali na Binafsi, hizi Bilioni 11 zilipwe JKT, huwezi kuwa unalindwa na hutaki kulipa, JPM

The post JPM: Nataka ndani ya Wiki mbili Taasisi zote zinazodaiwa iwe ni Ikulu, Ofisi ya Spika na zote za Serikali na Binafsi zilipe Bil 11 JKT (+Video) appeared first on Bongo5.com.