“Mzee Mkapa alikuwa na sifa ya kulea vipaji vya uongozi na kuvikuza, yeye ndiye aliniibua mimi lakini kama mtakavyokumbuka alimchagua mzee Kikwetee kuwa Waziri wa Mambo ya Nje miaka 10 ambaye baadaye alikuja kurithi kiti chake cha Urais”

The post JPM: Mzee Mkapa alikuwa na sifa ya kulea vipaji vya uongozi na kuvikuza, yeye ndiye aliniibua mimi (+Video) appeared first on Bongo5.com.