“Kwa sababu nimesikia kila mahali mimi nimetumwa na Rais, sasa kama ningekuwa na uwezo wa kukutuma kwanini nihangaike si ningesubiri tu kwenye viti vyangu 10 nikakuteua kama nitashinda, sikutuma mtu na ninajua Watanzania wanaelewa” – Rais

https://www.youtube.com/watch?v=86oEDYkRkWE&feature=emb_title

The post JPM: Hakuna mtu niliyemtuma kugombea, mana nasikia kila mtu akisema nimetumwa na rais (+Video) appeared first on Bongo5.com.