Jeshi la JWTZ muda huu linaendelea na maandalizi ya kaburi ambapo atazikwa Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu marehemu Benjamin William Mkapa kijijini kwake Lupaso Masasi mkoani Mtwara.

Credit Eatv.tv

The post Jeshi la JWTZ muda huu linaendelea na maandalizi ya kaburi la hayati Benjamin Mkapa appeared first on Bongo5.com.