Hivi ndivyo ilivyokuwa tukio zima msanii wa Bongo Fleva @harmonize_tz na timu nzima ya @kondegang walivyotembelea viwanja vya Sabasaba siku ya jana na kukutana na wasanii mbalimbali ambao wana vibanda lakini pia kuwaunga mkono kwa kununua baadhi ya bidhaa zao ikiwemo Vitenge kwa @wolperstylish Perfume kwa @auntyezekiel movie kwa @gabozigamba maua Jezi na mengine mengi.

The post Harmonize alivyowaunga mkono wasanii wenzake viwanja vya sabasaba, Anunua ua kwa sh laki moja (+Video) appeared first on Bongo5.com.