Mashabiki wa muziki wa Dodoma wameonyesha jinsi wanavyomkubali msanii wa muziki @harmonize_tz ambaye kwa sasa anafanya vizuri na albamu yake ya AfroEast.

Hayo yamejiri muda mchache baada ya kumfanyia surprise African Princess @officialnandy ambaye alikuwa ana show Royal Village Dodoma.

The post Harmonize alivyotoa dozi ya burudani Dodoma (Video) appeared first on Bongo5.com.